[GLOBAL TV ONLINE]: TAMASHA LA KUKUZA UTAMADUNI NA UTALII KUFANYIKA BAGAMOYO

[GLOBAL TV ONLINE]: TAMASHA LA KUKUZA UTAMADUNI NA UTALII KUFANYIKA BAGAMOYO

TAMASHA la Karibu Music Festival lenye lengo la kukuza utamaduni na utalii wa Tanzania litafanyika Novemba 7 hadi 9 mwaka huu, Bagamoyo mkoani Pwani. Hayo yalisemwa na meneja wa tamasha hilo, Richard Rupia, jijini Dar es Salaam akiongeza kwamba wadau na wasanii watapata fursa ya kujifunza namna muziki wa Tanzania unavyoweza kupigwa kwa ala tofauti za asili na kuufanya kukua na kutambulika kimataifa. Aidha  wasanii wa kimataifa kutoka Japan, Ufaransa, Uganda, Marekani, Comoro, Kenya na Guinea wanategemewa kutumbuiza siku hiyo. http://www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006%3ABlogPost%3A3277623 (October 27, 2014)

Read More

Mwananchi Communications Ltd: Majina ya awali yatajwa Karibu Festival

Mwananchi Communications Ltd: Majina ya awali yatajwa Karibu Festival

Wiki hii, Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen, imejitosa kudhamini tamasha la kwanza kubwa la sanaa litakalofanyika Bagamoyo Pwani, linalojulikana kwa jina la Karibu Arts and Music Festival. Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, wasanii wengi wamekuwa wakiomba kushiriki tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Novemba 7 hadi  9 mjini Bagamoyo, ambapo jana orodha ya kwanza ya wasanii waliokidhi vigezo vya kushiriki tamasha hilo imetolewa. Akizungumza Dar es Salaam jana, meneja wa tamasha hilo, Richard Lupia (Pichani), alisema kuwa wanatarajia wasanii wengi zaidi watajitokeza kushiriki Karibu Arts and Music Festival. Alisema kuwa tamasha hilo limeanzishwa mwaka huu ambapo linatarajia kushirikisha wasanii mbalimbali  wa ndani na nje…

Read More

People’s Blog: MAMBO YAZIDI KUIVA KARIBU MUSIC FESTIVAL

People’s Blog:  MAMBO YAZIDI KUIVA KARIBU MUSIC FESTIVAL

WASANII kutoka ndani na nje wanatarajiwa kupamba tamasha la Muziki la Kimataifa la ‘Karibu Music Festival’ litakalofanyika kwa siku tatu kwenye mji wa Kihistoria wa Bagamoyo, Novemba 7 hadi 9 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) mapema Oktoba 27, Msemaji wa tamasha hilo Muslim Nassor ‘Jazzphaa’ alisema maandalizi yamekamilika na tayari wasanii wa awali waliopatikana wapo hadharani wanaendelea na matayarisho huku akiwaomba watanzania na wadau wa burudani kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo. Jazzphaa aliwataka baadhi ya wasanii wa nje na ndani na nchi zao katika mabano ni Panda (Japan), Maria Kate (Ufaransa), IFE Pianki (Uganda), Masayo (Japan), Fantuzz (Marekani),…

Read More

MICHUZI JR: TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

MICHUZI JR: TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan  ******** Na Father Kidevu Blog Tamasha kubwa la Karibu International Music Festival, linataraji kufanyika nchini kwa mara ya kwanza katika Pwani ya viwanja vya Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA). Waratibu wa Tamasha hilo Karibu Cultural Promotions kupitia kwa Meneja wa Onesho hilo, Richard Lupia, amesema litafanyika kwa siku tatu kuanzia Novemba 7-9 Mwaka huu wa 2014. Lupia amesema vikundi zaidi ya 30 na wasanii zaidi ya 500 kutoka kila kona ya dunia wanaopiga muziki wa…

Read More

Kids Workshop ~ Dance, Craft&Music!!!!

Kids Workshop ~ Dance, Craft&Music!!!!

■KIDS WORKSHOP Let’s have FUN with DADA MASAYO!!! 1. Music & Dancing Time Enjoy dacing with some Tanzanian traditional children’s music. 2. Craft Time <Recycled Instruments: Shaker> <Head Band of Paper flower> 3. Let’s Play NUMBODY My book and music activities. PLACE: FESTIVAL GROUND (MWANAKALENGE GROUND) TIME: 2:00PM – 4:30PM In the 2014 Festival, Japanese language school students from Dar es Salaam and some local kids in Bagamoyo had a unique and fun kids workshop conducted by Dada Masayo and student teacher from Bagamoyo College of Arts. Kids enjoyed making numbers in the picture book “NUMBODY” published by Dada Masayo by using their bodies practically! After that, they had experience on…

Read More
1 10 11 12 13