Media taken by PROFESSOR JAY

Asanteni sana watu wangu wa BAGAMOYO jana mlikuwa na mzuka sana kwenye KARIBU MUSIC FESTIVAL…. Nawashukuru sana kwa kunipokea kwa mzuka wa ajabu, Tutaonana wakati mwingine MUNGU akipenda! !! BLESS Y’ALL. . @mdimuz @iddynigga I got nutting but LOVE for Y’all. …. My die hard fans are my life!!! @professorjaytz

pro_jay2