MTANZANIA : Papa Wemba Karibu Music Festival ni tamasha la kipekee

MTANZANIA : Papa Wemba Karibu Music Festival ni tamasha la kipekee

TAMASHA la Karibu Music Festival lililomalizika hivi karibuni mjini Bagamoyo limeacha kumbukumbu ya mambo mengi kwa wapenzi wa sanaa ya muziki hapa nchini. Licha ya kwamba ni tamasha changa, lakini hakuna mtu anayeweza kufirikia kwamba ilikuwa ni mara ya pili kwa tamasha hilo kufanyika kutokana na jinsi lilivyoandaliwa kwa ufanisi mkubwa. Mbali na maandalizi mazuri, lakini ubora wa kazi za sanaa zilizoonyeshwa jukwaani na wanamuziki mbalimbali ni sehemu ya mambo yaliyolifanya tamasha hilo kuonekana kama ni moja ya matamasha makubwa kabisa ya muziki katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Tamasha hilo lilishusha wasanii wengi waliomahiri kabisa katika fani ya muziki, lakini pia lilitoa nafasi kwa wasanii chipukizi kupanda jukwaani kufanya…

Read More

MWANANCHI : Papa Wemba asisitiza upendo Afrika Mashariki

MWANANCHI : Papa Wemba asisitiza upendo Afrika Mashariki

Mwanamuziki Papa Wemba akitumbuiza katika Tamaasha la Karibu Music Festival lililofanyika Bagamoyo Jana. Tamaasha la karibu Music Festival ina lengo la kukuza muziki. Read the original article at: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Papa-Wemba-asisitiza-upendo-Afrika-Mashariki/-/1597296/2949058/-/ci2q5kz/-/index.html MONDAY, NOVEMBER 9, 2015

Read More

Kenya Airlines In-Flight Magazine MSAFIRI : KQ’s festival year

Kenya Airlines In-Flight Magazine MSAFIRI : KQ’s festival year

KQ’s festival year November 1, 2015 – Destinations, Features – Tagged: KQ festivals Looking for ideas for new, unusual, inspirational or just downright weird things to enjoy and experience over the coming year? We’ve rounded up some of the top festivals across KQ’s global network in 2016 The world’s one big party – and KQ can be your entry ticket. Africa, Asia and Europe are bursting with annual extravaganzas ranging from traditional festivals and religious celebrations to cutting-edge contemporary cultural events. Choose from experiences ranging from dancing through the streets of London or visiting an avant-garde Parisian art installation at three in the morning, through to feasting with the locals…

Read More

Bongo Celebrity : CALL FOR ARTISTS 2015 : KARIBU MUSIC FESTIVAL 6th (Fri) – 8th (Sun) NOVEMBER 2015, BAGAMOYO TANZANIA

Bongo Celebrity : CALL FOR ARTISTS 2015 : KARIBU MUSIC FESTIVAL 6th (Fri) – 8th (Sun) NOVEMBER 2015, BAGAMOYO TANZANIA

Karibu Cultural Promotions Organization in collaboration with Legendary Music Entertainment and Promotions Company Limited are organizing the 2nd edition of the “Karibu Music Festival”, an annual Three (03) Days International cultural event aiming at African Culture Promotion to the world, as well as introducing other countries’ culture to Africa, and building up friendship/collaboration opportunities among all participants. In the aspects of music, dance, paintings, theater, crafts, and many others, all artists who can share our passion and goal together, you are welcomed to participate in this event to present your great talents and promote yourself! The festival involves International artists from Africa, Europe, America, and Asia who will perform at the main stage and conduct…

Read More