The EastAfrican : Bagamoyo music festival is welcome

The EastAfrican : Bagamoyo music festival is welcome

When I am asked what is my drug of choice, I say music. So when I heard of the Karibu Music Festival to be held in Bagamoyo from November 7-9, I knew I had to attend. Not even the mad Dar es Salaam traffic could keep me away. The festival was organised by Amarido Charles Kilinda, who is also the chairman of the festival. The festival was held at the Mwanakalenge grounds from 3:30pm to half past midnight on all three days. I attended on the second day. Entrance was charged at Tsh5,000 for one day and Tsh12,000 for the three days. Late at night, the Abeneko Band took to…

Read More

East Africa TV: Tamasha la Karibu Music laanza

East Africa TV: Tamasha la Karibu Music laanza

Msisimko mkubwa umeendelea kupanda kutokana na Tamasha la Karibu Music litakalofanyika huko Bagamoyo kuanzia siku ya leo ambapo hii itakuwa ni nafasi nyingine ya kuutangaza zaidi muziki wa Live na wenye vionjo vya Kiafrika katika ngazi ya kimataifa. Wasanii mbalimbali wakiwemo Prof, Jay, Barnaba Boy, Juma Nature na wengineo wengi wamepanga kuimba nyimbo zao mbalimbali na pia kuonesha aina ya muziki wa Live na wa asili kwa kutoa burudani kuanzia kwa watoto mpaka watu wazima. Tamasha hili linafanyika kwa siku Tatu mfululizo kuanzia leo mpaka Jumapili likiambatanisha Burudani ya muziki na semina juu ya sanaa hii kwa washiriki. http://www.eatv.tv/news/entertainment/tamasha-la-karibu-music-laanza (November 7th, 2014)

Read More

News 24 Zambia : Karibu Music Festival comes to Dar es Salaam

News 24 Zambia : Karibu Music Festival comes to Dar es Salaam

Dar es Salaam – The famous Karibu Music Festival will be held on the 7th – 9th November hosting performers from around the world, reports the Daily News.  The popular genre, Bongo Flava will grace the stage, where one should look forward in seeing Barnaba, Professor Jay, Shilole and Juma Nature. Other local artists will be Mama Africa, Tongwa Ensemble, Jhiko Man, Africabisa Band and many many more. Foreign artists from around the world include Mbiye Ebrima (Guinea), Panda and Misayo (Japan), Marie Kate (France) to name a few. Event Coordinator, Muslim Nassor hopes that this provides a platform for the world to realize Tanzanian music. http://zambia.news24.com/Regional-News/Karibu-Music-Festival-comes-to-Dar-es-Salaam-20141029-2 (October 30, 2014)

Read More

[GLOBAL TV ONLINE]: TAMASHA LA KUKUZA UTAMADUNI NA UTALII KUFANYIKA BAGAMOYO

[GLOBAL TV ONLINE]: TAMASHA LA KUKUZA UTAMADUNI NA UTALII KUFANYIKA BAGAMOYO

TAMASHA la Karibu Music Festival lenye lengo la kukuza utamaduni na utalii wa Tanzania litafanyika Novemba 7 hadi 9 mwaka huu, Bagamoyo mkoani Pwani. Hayo yalisemwa na meneja wa tamasha hilo, Richard Rupia, jijini Dar es Salaam akiongeza kwamba wadau na wasanii watapata fursa ya kujifunza namna muziki wa Tanzania unavyoweza kupigwa kwa ala tofauti za asili na kuufanya kukua na kutambulika kimataifa. Aidha  wasanii wa kimataifa kutoka Japan, Ufaransa, Uganda, Marekani, Comoro, Kenya na Guinea wanategemewa kutumbuiza siku hiyo. http://www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006%3ABlogPost%3A3277623 (October 27, 2014)

Read More

Mwananchi Communications Ltd: Majina ya awali yatajwa Karibu Festival

Mwananchi Communications Ltd: Majina ya awali yatajwa Karibu Festival

Wiki hii, Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen, imejitosa kudhamini tamasha la kwanza kubwa la sanaa litakalofanyika Bagamoyo Pwani, linalojulikana kwa jina la Karibu Arts and Music Festival. Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, wasanii wengi wamekuwa wakiomba kushiriki tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Novemba 7 hadi  9 mjini Bagamoyo, ambapo jana orodha ya kwanza ya wasanii waliokidhi vigezo vya kushiriki tamasha hilo imetolewa. Akizungumza Dar es Salaam jana, meneja wa tamasha hilo, Richard Lupia (Pichani), alisema kuwa wanatarajia wasanii wengi zaidi watajitokeza kushiriki Karibu Arts and Music Festival. Alisema kuwa tamasha hilo limeanzishwa mwaka huu ambapo linatarajia kushirikisha wasanii mbalimbali  wa ndani na nje…

Read More

People’s Blog: MAMBO YAZIDI KUIVA KARIBU MUSIC FESTIVAL

People’s Blog:  MAMBO YAZIDI KUIVA KARIBU MUSIC FESTIVAL

WASANII kutoka ndani na nje wanatarajiwa kupamba tamasha la Muziki la Kimataifa la ‘Karibu Music Festival’ litakalofanyika kwa siku tatu kwenye mji wa Kihistoria wa Bagamoyo, Novemba 7 hadi 9 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) mapema Oktoba 27, Msemaji wa tamasha hilo Muslim Nassor ‘Jazzphaa’ alisema maandalizi yamekamilika na tayari wasanii wa awali waliopatikana wapo hadharani wanaendelea na matayarisho huku akiwaomba watanzania na wadau wa burudani kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo. Jazzphaa aliwataka baadhi ya wasanii wa nje na ndani na nchi zao katika mabano ni Panda (Japan), Maria Kate (Ufaransa), IFE Pianki (Uganda), Masayo (Japan), Fantuzz (Marekani),…

Read More

MICHUZI JR: TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

MICHUZI JR: TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan  ******** Na Father Kidevu Blog Tamasha kubwa la Karibu International Music Festival, linataraji kufanyika nchini kwa mara ya kwanza katika Pwani ya viwanja vya Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA). Waratibu wa Tamasha hilo Karibu Cultural Promotions kupitia kwa Meneja wa Onesho hilo, Richard Lupia, amesema litafanyika kwa siku tatu kuanzia Novemba 7-9 Mwaka huu wa 2014. Lupia amesema vikundi zaidi ya 30 na wasanii zaidi ya 500 kutoka kila kona ya dunia wanaopiga muziki wa…

Read More
1 2 3